Mfumo wa kisasa wa usimamizi wa stoo na mauzo unaowezesha biashara kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
Dhibiti bidhaa, mauzo na shughuli za kila siku kwa haraka, usahihi na uwazi wa hali ya juu.
Makini Tech Solution Limited
Mauzo ya Haraka na Rahisi
Ufuatiliaji wa Hisa na Rafu
Miamala Salama
Viwango vya Watumiaji (Admin na Staff)
Ufuatiliaji wa Muda wa Matumizi
Ripoti za Siku, Mwezi na Mwaka
Simamia Biashara Yako Wakati Wowote na Popote Ulipo